Ujumbe gani kwani jerryOk basi bht mbaya, huna jirani nipitishie huko ujumbe?
Ujumbe gani kwani jerry
Nitakutafuta jerryKuna ishu nlitaka nikuulize specifically wewe
Chama chama ....umeandika madudu gan [emoji115]Tunapoelekea , kutafuta mchumba kutamuwa kama tangazo la kazi. Saivi wadanii wengi sana, dio wadada sio wakaka, kazi ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wazamani walikua hawapendi?Sasa amesahau kusema anafanya kazi gani ànapokea sh ngapi unadhani watakuja??? Nawasichana wa siku izi wanavopenda magari (hajasema ata kama anamiliki mkoko)
Walikua wanapenda ila naona wasiku hizi wamezidiKwani wazamani walikua hawapendi?