Salamu wadau,
Kwa heshima na taadhima na wajulisha kwamba natafuta mchumba/mpenzi wa kike au niseme mwanamke. Angalau awe na umri wa kuanzia miaka 20-45.
Sifa: Awe mcha Mungu, imani yoyote, awe na upendo wa kweli, awe mwaminifu na ajue nini maana ya kupenda, awe na kazi halali inayo ruhusiwa kisheria.
Mimi umri wangu ni miaka 31, kazi yangu kwa sasa ni plumber na nina kampuni ya mambo ya plumbing.