Natafuta mpenzi

Kwahiyo Mungu huwaleta chumbani?
Sio ivyo umeenda direct sana ila ili umpate mtu Mzuri Mara nyingi mfano mimi binafsi ili nimpate mtu wa Maisha,mimi ni mkristo na Huwa kuna vyama vya kitume au nikiwa shuleni au kuhudhuria kwenye mikutano ya Kikanisa(Viwawa au TMCS) unakuta tunakutana na vijana tofauti tofauti,ikumbukwe kuwa wakaka au mabinti wenye kujiheshimu wengi wao utawakuta wakimtumikia Mungu, so lazima uwakute Mazingira hayo niliyotaja hapo juu,ila kwa chuo hapana japo wapo wachache sana So huko Unaweza jikuta sio kwamba umeenda kutafuta, narudia tena unaweza kujikuta umempenda Mtu nafikiri pengine mahusiano Mazuri sio ya tamaa yanaweza anzia hapo na sio kwamba ulieenda kutafuta Mpenzi Kanisani,hapana Bali na wewe katika Shughuli zako za kumtumikia Mungu ukajikuta umependa hapo sasa ndo me naweza sema Mtaendelea kumwomba Mungu zaidi na hatimaye uchumba hadi ndoa,Maana hamkutafutana Bali Mlijikuta mmoja wapo amependa kweli na ukamwambia akakubali basi ndo ivyo, ila ukiniambia kutafuta Mwenzi wa maisha kama bidhaa unakaa unaanza kuvizia sawa utampata lakini kama ni mke atakuwa wife material au Mme basi utajua kitakachoendelea Mnawesa msidumu kwa sababu ulimtafuta kwa Nguvu zako binafsi,Hukumhusisha Mungu,Ndo maana watu kila kukicha wanalia Ndoa zimekuwa Ndoano wanateseka sana wanajuta kwann nilioa au nilitolewa kwa sababu hawakumhusisha Mungu katika Hilo
 
Yaan umevurugwa kweli unataka atakae tumia muda kuwa nawe lakini awe wa nje ya nchi pole yako jiandae kuwa mke wa pili au hata wa tatu
 
Ulishapata au bado
 
Kumbe kiswahili Safi wakijuaa.
Sasa izo I want someone outside the country and come to see me why??
Wa Karibu humtaku
Ushmen yupo
Mnaboa tu ndio maana watu wanachagua njee meaning ya muji nchi sawa tu.
 
Unataka mapenzi ya tamthilya;waonyeshe upendo hao ulionao ili nao warejeshe upendo kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…