Natafuta mpenzi

natafuta mpemzi [MWANAMKE]awe na umri wowote ule kwan mapenzi ayaangalii umri wa mtu nachoitaj n upendo wa dhat mm umr wangu 22yrs kwa aliyetayar my contact 0621850715 ipo hewan mda wote
espy anakufaa mkuu..ila tafuta pesa mkuu..km tuit atakupiga yy walau uweze kuandika minyoosho☺
 
Dgo nakushauri kwa umri huo waza zaidi kutafuta pesa ikiwezekana rudi shule . No offence plz
 
Mie nimekuita uje upate mchumba alafu unanigeuzia kibaoπŸ™†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸͺπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ mimi huyu nitamnyanyasa..ikiwezekana siku akiniudhi nakalaza selo..nahus katakuwa kananiimbia bobgo flavas asbh had jionπŸ˜‚πŸ˜‚nyimbo za nyegezi..wakat mwenzake nawaza naboreshaje kijiwe chang😏
 
Mama yako kila siku anadaiwa vicoba ili usome wewe unakuja tafuta Watoto huku mitandaoni.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…