Natafuta/mpenzi

abdul1993

New Member
Joined
Jan 29, 2019
Posts
2
Reaction score
2
Mimi ni mwanaume wa miaka 26 muislam ninaishi Dar, mweupe mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri (sio uzuri wa muonekano tu, na uzuri kutoka rohoni) anaye ishi Dar

Au mkoa wowote ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi, hata kama huna kazi usijali(angalau uwe na akili ya biashara), pia mwenye umri kuanzia 19 na kuendelea, sichagui dini wala kabila. ambaye yuko serious na una vigezo vyo hapo juu njoo PM.

NB: Mwenye mambo mengi tafadhali usinipotezee mda..kupima lazima...
 
Huko mtaani kwenu Abdul hakuna wanawake warembo?? Humu wengi ni matapeli tu mdogo angu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa shehe uku utamjuaje kwamba anatabia mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makubwa hayaa uko serious au unatania, kumbe watu wanapata wenza wa maisha humu humu,
Kumbe jf mm ndo siielewi

Najua ni kujifunza na kuhabarika, na utani na mizaha kibao kumbe watu wapo seriously humu.

Mmh kila LA kheri mkuu, Nina mwaka 3 humu sina rafiki wala best nipo tu kuburudika cjawah kujua watu wanawapenzi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..!!
 
Ustadhi unayumba wapi,kwa imani yenu wazee wako ndo uwa wanawachagulia wake au wachumba.
 
joined july 14,2018
 
Wenzako wapo huku [www.dating.co.tz]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Pole jamani.Usiwe unajiwekea kanuni za kudumu kwenye mambo ya kijamii,yapo tata sana.Humu kuna wezi na watu wema na wengine vuguvugu. Sasa kufanikiwa ama kutofanikiwa hicho ni kitu kingine,hata nje ya mtandao/JF bado changamoto ya kufanikiwa ni kubwa tu.

Sisi ndiyo binadamu.Viumbe watata
 
warembo wapo wengi ila tushawachoka ndo maana kwa sasa tunatafta wa kuoa. Na vile vile unajua vzri kuna wale wa kula nao pesa na kutembea nao ila sio wa kukalisha ndani!
Mdogo angu, mwanamke wa kuoa hatafutwi kwa njia hii aisee, utaangukia mikononi mwa matapeli , makahaba yaliyokubuhu wakunyonyoe manyoya ufe kwa stress.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya nenda inbox muyajenge madam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…