hahahaha umetisha mkuuMvua ikinyesha tu, korodani zikipata baridi vijana wanatafuta wapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Me si ndo nakutuma? We nenda tu mkuu hahahahahaAaaah sitak mm ndo ntakua mbaya na sio ww,[emoji3]
Kwanza hongera kwa Bahati. Naona umewekwa signature [emoji3][emoji3][emoji3] watu na nyota zenu
Hee signature ya nini tena mzee baba?Ahahaha Kwanza hongera kwa Bahati. Naona umewekwa signature [emoji3][emoji3][emoji3] watu na nyota zenu
Ngoja walio siliasi wajeNilikuwa siriasi ila wewe unatafuta aliye siliasi
Kila la kheri mkuu
Hahahaha
Nenda kono barKama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae kuwa tayar ani pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae kuwa tayar ani pm Shule kwanza siliasi ndio nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua mother tongue inaweza affect hata kuandika wengi wenu mmezoea kimatamshi
Usijali mkuu waliokuelewa na wasio na masihara watakujaunajua mother tongue inaweza affect hata kuandika wengi wenu mmezoea kimatamshi
ila ujumbe si umefika na kueleweka ila nyie mpo kimasihara masihara tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Endapo yeye mwenyewe yuko siliasiπππ