Habari wanajf.
Kichwa cha habari kipo wazi hapo.Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32.Natafuta msichana/mwanamke awe mpenzi na hatimaye awe mke wangu.Awe mrefu kiasi,asiwe kibonge,umri miaka 22 mpaka 30.Awe muislamu
Rangi yoyote.Aliye serious aje pm tuyajenge zaidi.