Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa ninafanya kazi Posta kwenye kampuni ambayo jina nimelihifadhi.

Mpenzi ninaye mtaka awe na sifa zifuatazo:
1. Awe na makalio makubwa na figa nzuri
2. Asiwe na tumbo kubwa
3. Awe na matiti makubwa yaliyosimama na mazuri
4. Asiwe amezaa
5. Awe mkazi wa Dar-ea-Salaam
6. Awe na miaka 22 au chini
7. Awe na sura nzuri yenye kuvutia

Matusi sitaki
 
Mkuu hizo type za wanawake wa peponi
,huwezi pata tako kubwa, maziwa makubwa, sura nzuri , alafu awe ajazaa, tena mbaya zaidi awe ana 22 miaka . Kwaiyo mtaani wawe wanakutunzia mbaka leo. Hauko seriously
Kwanza tuko busy na English ya Harmonize kwenye nyimbo zake.
 
Yaani unafanya kazi Posta umeshindwa kula mingo hapo Posta mpya? Huo ni kama Msitu kuna kila aina ya wanyama yaani umekuja humu? Au Makumbusho stand basi.

244 558862625533 933 66444 226669992
 
Hiv huku JF kuna wanawake wana misambwanda kumbe ?.

Kila la kheri mkuu
Wapo ndugu yangu ndio nimetangaza TENDER nasubir TENDERERS wasubmit documents ikiwemo picha zao km BROCHURE
 
Mkuu hizo type za wanawake wa peponi
,huwezi pata tako kubwa, maziwa makubwa, sura nzuri , alafu awe ajazaa, tena mbaya zaidi awe ana 22 miaka . Kwaiyo mtaani wawe wanakutunzia mbaka leo. Hauko seriously
Kwanza tuko busy na English ya Harmonize kwenye nyimbo zake.
🙏😂🙌🙌🙌
 
To life is to suffer ndugu yangu kuna wakati hata billionea laizer kabla ajapata mawe alionekana km mpuuz fulan pale meraran anaeang"aikang"aika ambae hana leo hana keshp leo hii kapata mawe ya billion kila kitu kinawezekana bwana
 
Mkuu hizo type za wanawake wa peponi
,huwezi pata tako kubwa, maziwa makubwa, sura nzuri , alafu awe ajazaa, tena mbaya zaidi awe ana 22 miaka . Kwaiyo mtaani wawe wanakutunzia mbaka leo. Hauko seriously
Kwanza tuko busy na English ya Harmonize kwenye nyimbo zake.
Duh
 
Attachments

  • IMG-20200806-WA0055.jpg
    IMG-20200806-WA0055.jpg
    43.8 KB · Views: 4
Yaani unafanya kazi Posta umeshindwa kula mingo hapo Posta mpya? Huo ni kama Msitu kuna kila aina ya wanyama yaani umekuja humu? Au Makumbusho stand basi.

244 558862625533 933 66444 226669992
Apo posta mpya ndio stand yangu kila cku lazima nipande basi apa nimefanya scanning ya kutosha sema mda huwa watoto wakal wapo ila wanakosa sifa kadhaa nilizotaja apo waweza kuta ana sura nzur ila tako na ziwa hana au ana tako zur ila ziwa hana au ana titi zur ila sura hana yaan hawamatch specification
 
unatafuta mke ama danga la kumalizia haja yako ya zinaa...??[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Apo posta mpya ndio stand yangu kila cku lazima nipande basi apa nimefanya scanning ya kutosha sema mda huwa watoto wakal wapo ila wanakosa sifa kadhaa nilizotaja apo waweza kuta ana sura nzur ila tako na ziwa hana au ana tako zur ila ziwa hana au ana titi zur ila sura hana yaan hawamatch specification
We uko Posta mpya gani?

Acha masikhara mzee watoto wa IFM. Wafanyakazi, watoto wa MNMA, wapita njia... Wote hao?
 
Mkuu apo IFM na CBG nipo ktk relationship na watu kadhaa ila cienjoy coz specification nying zimefel cjui nina gundu gan kila ninae mpata lazima kuna mahali kiwango kitakuwa hamna ndo maana nimeona bora niweke hapa
 
Mkuu hizo type za wanawake wa peponi
,huwezi pata tako kubwa, maziwa makubwa, sura nzuri , alafu awe ajazaa, tena mbaya zaidi awe ana 22 miaka . Kwaiyo mtaani wawe wanakutunzia mbaka leo. Hauko seriously
Kwanza tuko busy na English ya Harmonize kwenye nyimbo zake.
Duh
Habarin wana jamii forum hope mpo poa twende moja kwa moja on topic
Mm ni mwanaume wa miaka 25 ninaish moshi bar jijini Dar-ea-salaam nimemaliza chuo mwaka 2014 nimesoma IT kwa sasa ninafanya kaz posta kwenye kampuni ambayo jina nimelihifadh

Mpenzi ninaye mtaka awe na sifa zifuatazo
1.awe na makalio makubwa na figa nzur
2.asiwe na tumbo kubwa
3.awe na matiti makubwa yaliyosimama na mazuri
4.asiwe amezaa
5.awe mkazi wa dar-ea-salaam
6.awe na miaka 22 au chin
7.awe na sura nzur yenye kuvutia

MATUSI SITAKI
Huyu hapa
 
Attachments

  • IMG-20200806-WA0019.jpg
    IMG-20200806-WA0019.jpg
    15.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom