Umri wangu miaka 32 mdada mwenye sifa zifuatazo anaitajika.
1.awe anapenda ugomvi
2.awe anatumia castle lite ata bingwa sio mbaya
3.awe na mtoto wasizidi 2
4.umri wake usizid miaka 34
5.awe haijawah kujeruh kwa kitu
6.asiwe mvivu kitandan
7.awe na kazi yake
8.awe na makalio kias
Asanten sifa zingine tutajuzana chumbani