Ni ki kijana wa miaka 26 ni mrefu na mweusi kidogo nna mwili wasitani maana nina 69KG.
Ni mfanyakazi wa sekta flani binafisi.
nina usafiri na makazi ya kueleweka.
Inshort nina kipato ila bado natafta kwa hali na mali, sina ugonjwa wowote wala matatizo yoyote
nahitaji mpezi awe mweupe umri asizidi 28.
Karibu DM