S Saleh Alli Member Joined Mar 12, 2012 Posts 8 Reaction score 0 Mar 24, 2012 #1 Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj.
Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj.
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 867 Mar 24, 2012 #2 Aisee yaani kirahisi namna hiyo? Mbona sijaona vigezo ambayo ndiyo criteria ya waombaji kutuma CVs zao. Hebu ifanyie kazi ile kauli mbiu ya Vodacom ya kuwa masharti na vigezo kuzingatiwa.
Aisee yaani kirahisi namna hiyo? Mbona sijaona vigezo ambayo ndiyo criteria ya waombaji kutuma CVs zao. Hebu ifanyie kazi ile kauli mbiu ya Vodacom ya kuwa masharti na vigezo kuzingatiwa.
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Mar 24, 2012 #3 Saleh Alli said: Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj. Click to expand... Na moimi nitafutie binti wa kizenji, nataka kuoaaaaaa
Saleh Alli said: Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj. Click to expand... Na moimi nitafutie binti wa kizenji, nataka kuoaaaaaa
R Raia Safi Member Joined Mar 24, 2012 Posts 53 Reaction score 9 Mar 26, 2012 #4 Saleh Alli said: Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj. Click to expand... Wanaoishio Zenji wanaogopwa eti kunakatabia wenyewe wanaita suna!
Saleh Alli said: Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj. Click to expand... Wanaoishio Zenji wanaogopwa eti kunakatabia wenyewe wanaita suna!