Natafuta mpenzi

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
118
Reaction score
27
mimi ni mwanaume ninaishi dar nimeamaliza chuo kikuu kwa sasa ninahitaji mpenzi,rafiki wa karibu vyovyote vile but i need serious relationship kwa umbile ni mrefu, mweusi,kwa yeyote atakayekuwa tayri naomba ani PM kwa ajili ya kufahamiana vizuri nipo very serious
najua hili sio jukwaa la kutafuta wapenzi but sometimes it do happen kama huna cha kucomment plz naomba ukae kimya kuliko kupost matusi au maneno ya kejeli
 
wenzako wanatafuta kazi,we unatafuta demu!!kuna mtu kakushauri uje utafutie mademu humu khaa
 
ukiona hivyo ujue kazi ninayo
 

vipi kuhusu uwezo wa kuongea kimombo nao unazingatiwa?
 
mimi nirefu 6.1 ft sio mnene wala mwemabamba sana 68 kg nina elimu ya chuo kikuu umri miaka 23,dini muislam
unaweza kunipm kwa maelezo zaidi
 
Mke umempata, umri ni 40yrs, usiwe na shaka tutaleana
 
Kwakutakia kila la heri ili hatimate aje awe mke mtarajiwa.
 

Nimefurahi kwamba umetambua kuwa ili si jukwaa la kutafutia wachumba lakini umeamua kupost kwa imani kujaribu kubahatisha. I hope wadada wamekupata. Nakutakia kila kheri ktk zoezi lako zima la kutafuta mpenzi ...
 
Mdogo sana wewe lakini,a'way kila la kheri
 

Jf imekuwa jukwaa la hawa wanaotoka shule kutafuta wanawake! Hivi chuo hawafundishi Kutongoza? Maajabu darasa la kwanza mpaka la saba holaa umeshindwa kutongoza, haya form one mpaka four bila bila, form five mpaka six patupu, chuo mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho bure kabisa, kazini kwako sifuri kabisa sijui na digrii au diploma, huko kote ulikopita mademu wapo umekuwa domo zege, hapa Jf unatangaza, akiku PM Pretta utamweza kweli?

Haya wanakuja wenyewe, utawona! Kazi ni kwako!
 
Unatafuta Maambukizi Mapya. Uliyekuwa nae chuo yuko wapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Nakutakia Mafanikio mema mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…