natafuta mpenzi

man_selector

New Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
1
Reaction score
0
hi ladies
am immanuel
am 25 yrs
mimi ninaingia chuo maka huu
nimepa chuo nje ya nchi huko mozambique
urefu wangu ni wastani na rangi yangu ni maji ya kunde
ninahitaji mpenzi awe mzuri
elimu yake iwe kidato cah sita au cha nne lakini wenye degree na kuendeleea pa wanaruhusiwa
atakayekuwa nakijungu kikibwa pia atapewa nafasi kubwa zaidi
e-mail yangu ni
man_selector@yahoo.com
nmba zangu ni
0714098351
karibuni sana
sms zitajibiwa ukiweza piaga
 
Wenye vijungu vikubwa tuliambiwa ni wasaurifu kaka, tafakali kwanza asije akakusahau !
 


kweli kipya kinyemi!!!!
 

kaka kuna vifaa umeviona humu nini?, mbona unasisitiza sana kijungu? una mlenga mtu nini?, ngoja nipitie avator za dada zangu humu nione unamlenga nani?
 
Ha Ha Ha Ha Ha Ha

Kutafuta mpenzi na yenyewe ni Breaking News nilikuwa sijui
 
Jamani eee.
mwenzenu anasaka dem na ni breaking news maana jamaa bado hajakata kiu maishani.
who's the first?
 

Bado mdogo wewe! Unaharaka gani kuwahi mambo ya wakubwa?
 



 
haya wenzetu wenye vyungu ngekewa hiyo.
si ungezikatia masomo kwanza hayo ya vijungu yatakufanya ushinde kusoma bure,unataka vijungu huku bado uko student ina maana hata fedha ya kuhudumia hicho kijungu huna,si utanyanganywa kijungu chako na wenye nazo.kijana soma vijungu vilikuwepo na vitakuwepo ukimaliza shule.
ni ushauri tu otherwise good luck.
 
Ha Ha Ha Ha Ha Ha

Kutafuta mpenzi na yenyewe ni Breaking News nilikuwa sijui

Mpwa siku nyingi ilikuwa nusura nikuulizie kwa mkuu wa kaya!zaukoutokako na ulipokuwa au mambo ya kampeni??
 
Unahitaji mrembo mwenye kijungu .... wewe mzee wa TiGo nini??
 
Kula lazima msubiri Boom??Serengeti wamevamia msitu wa JF kazi tunayo!!:kev:
 
gud lucky ..?
Nani amekwambia wachumba wanatafutwa Jf?
 
Mpwa siku nyingi ilikuwa nusura nikuulizie kwa mkuu wa kaya!zaukoutokako na ulipokuwa au mambo ya kampeni??

Mkulu si unajua nado niko katika harakati za kumpigia kura Slaa amenihahidi uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…