MIFUGOKILIMO SUPPORT
Member
- Mar 18, 2015
- 51
- 0
Wana JF,
Mimi natafuta mwanamke mfanyabiashara fundi wa kupika supu ya kuku wa kienyeji na awe mtaalamu wa kupika mchemsho wa kuku uliochanganywa na karanga viazi mviringo au ndizi.
Utaalamu wake uambatane na utengenezaji mzuri wa chapatti na maandazi. Atapewa malipo mazuri. Kazi hiyo ataifanyia Tabora, awe mjasiliamali mzuri na mchacharikaji wa kuvuta wateja.
Usihangaike piga moja kwa moja simu Na. 0764 601903