Natafuta mrembo wa kuzaa naye

nguvusimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2020
Posts
1,124
Reaction score
1,839
Kwa mrembo aliye tayari natafuta dada wa kuzaa naye, awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35. Mimi binafsi nina 38 na nina kazi nzuri ya kuweza kumhudumia mtoto. Nimeoa. Kwanini nataka mtoto nje ya ndoa? Mke wangu hataki kuzaa watoto zaidi ya wawili na kusema kweli naitaji na ninapenda kuwa na watoto wengi. Aliye tayari tafadhali aje inbox. Ninatagharamia mahitaji yote ya mtoto na mama yake.
 
Aloooo Omba Mods wahamishie huu Uzi kule MMU, love connect au Chit chat Utapata wateja fasta...Wengi Watakuja PM, kwenye wall watahisi aibu.
 
Aloooo Omba Mods wahamishie huu Uzi kule MMU, love connect au Chit chat Utapata wateja fasta...Wengi Watakuja PM, kwenye wall watahisi aibu.....
Mods please peleka jukwaa linalohusika
 
Huyo hapo mkuu
 

Attachments

  • VID-20200323-WA0020.mp4
    3.6 MB


Mtafute Wolper wa Bongo Movie, anasema kachoka kuvuliwa chupi hovyo, anataka kuzaa na mwanamme atakayemtunza yeye na mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…