Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
Kabla ya yote elimu kiasi gani unayo?
Au ujuzii ambao unao certified ?
Mtihani wa lugha umefanya ?
 
Natamani kwenda majuu sema haka ka degree kangu nakosomea nako sahiv ka social science naona sio applicable au low demand huko
 
Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
Good dreams. Jitahidi utafanikiwa. Fanya research kwanza ni sifa zipi ili mtu kuweza kupata visa ya kwenda/kuingia nchi hiyo.

Vinginevyo ukienda kichwa kichwa wataku-label halafu siku ukienda ukiwa na full equiped with requirements utawarahisishia kazi ya kuku-reject kimojaa.

Kuna mdau amekushauri uende ubalozini kwao upate abc's (usiende kwanza).

Nimekushauri kutokana na uzoefu wangu katika masuala hayo.

Sawa jombaaa!!!

Nimeingia tangu juzi Arachuga nipo zangu Gran Malia, karibuni tubadilishane mawazo.

Jumatano ijayo nasepa zangu "porini kwa watu".Kupitia maeneo jirani na Bomang'O Jumatano ijayo nasepa zangu "porini kwa watu" kuupitia maeneo jirani na Bomang'ombe.
 
Natamani kwenda majuu sema haka ka degree kangu nakosomea nako sahiv ka social science naona sio applicable au low demand huko
Elimu ya bongo kwa hizo nchi haina kazi, ila ukiwa na hizi skilis kama hizi watu wanazo zizarau hizo nchi wewe uko na possibility kubwa kupata kazi tofauti na elimu yako, kama uko na nia kweli ya kwenda huko

Wewe deal na skills tofauti tofauti kujifunza au kuijua
 
Nakunga mkono toka bongo nenda mbele katafute maisha, the only way to gain more experience's in a short period of time ni huko ulimwenguni sio bongo
 
Even me I wish kwenda majuu hasa marekani au Canada hii nchi imejaa wapumbavu Sana ngumu kutoboa Maisha unalima Serikali inakupangia Bei WTF all I need is turn off this shit country.
 
Social Media Banner.jpg

From Passport to Visa Applications & Appointments..
Contact us today!!

Tunapatikana:

Jengo la White Beach Park,Tanki Bovu,
Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom