Natafuta msaada wa wazo la biashara

Mr Fan

Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
69
Reaction score
126
Samahani wakuu mimi ni kijana na umri wangu ni miaka 27 muhitimu wa degree.

Nilikua nafanya kazi kwenye kampuni japo kwa muda huu imesimama, nilifanya saving zangu nikafikisha miliioni 4.5.

Nimekuja kwenu nikiomba wazo la biashara yyte ambayo naweza kufanya kwa hio hela na mkoa gani.... ntasoma maoni yenu.
 
Pumbavu
 
Umehitimu degree ya Nini?
Fanya unachokipenda
 
Hakikisha biashara unayo enda kufanya unaielewa, ukiweza tafuta boda, mpe mtu uwe na uwakika wa kula kuanza biashara ni changamoto sana, mambo ni magumu kwenye biashara au tafuta mtu unaye mjua kuza mtaji muanze kula faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…