Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 751
- 559
Habari zenu wadau wa jf,nakusudia kuanzisha biashara ndogo ndogo ya kukaanga kuku,pweza na vitafunwa vingine.so nahitaji mtu wa kunisaidia ktk shughuli hizo malipo tutaelewana nipo dar currently.kwa wasio na kazi tu kama mimi.nipo dar temeke'call 0719271039