Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende Mloganzila. Kitengo cha Ushauri na Magonjwa ya akili (Physiatry and Mental Health).
Mkuu,Mimi nina shida jamani naomba kama kuna mtu anajua au anamfahamu psychologist (Msaikolojia tiba) yeyote toka Muhimbili hospital akisaidiwa namba ake mimi niko huku tabora.
Kuna mgonjwa anaumwa. Sasa tulikuwa na shida na psychologist (msaikolojia tiba)
Why not 😊Nauliza kuna daktari wa muhimbili umu ni memba mwenzetu jf?
Sijabisha kama kuna watu wa muhimu ila ndoa hivyo kuwapata sasa. Sasa mbona pm yako mbona hifunguki?? Watu wote humu ni wa maana tu ila tunatofautiana.Mkuu,
Unaweza kuweka japo A,B,C utapata msaada Zaid..
Humu Kuna watu wengi Sanaa wa maana ambao WANA weza kukupa msaada mkubwa Mimi naweza kua mmoja wao pia...
Ikikupendeza..
Ila Pm yangu Ina matatizo hazifunguki mwezi Sasa..
Sijui kwanini nimeshawaeleza lakini hawajatatua untill now..Sijabisha kama kuna watu wa muhimu ila ndoa hivyo kuwapata sasa. Sasa mbona pm yako mbona hifunguki?? Watu wote humu ni wa maana tu ila tunatofautiana.
Jitahidi basi iwasiliane naye unipe mrejesho. Mi nahitaji namba tu ya daktari yeyote kwenye hiyo department.ilimradi awe msaikolojia tu.Aende Mloganzila. Kitengo cha Ushauri na Magonjwa ya akili (Physiatry and Mental Health).
Ninayemfahamu ni Dr Kitomary (sina hakika kama bado yupo ama la). Nitawasiliana naye kisha nitamrejea,ila ni department kubwa mno.
Wapo wataalam wa kutosha, watamsaidia.
Ili iwe rahisi, aanzie Hospital ya Rufaa Kitete. Kisha apate rufaa kwenda Mloganzila. Atahudumiwa kwa ukaribu zaidi.
Jitahidi ifunguke bossSijui kwanini nimeshawaeleza lakini hawajatatua untill now..
Vipi na hawa ni madaktari wa hapo muhimbili au??
Kama yupo atokee jamani msaada unahitajika.Nauliza kuna daktari wa muhimbili umu ni memba mwenzetu jf?
Wasaikologia sio lazima watoke hospitali tu. Wanaweza pia kupatikana kwenye taasisi za dini, taasisi za elimu, wanasheria, nk , kulingana na shida ya mgonjwaMimi nina shida jamani naomba kama kuna mtu anajua au anamfahamu psychologist (Msaikolojia tiba) yeyote toka Muhimbili hospital akisaidiwa namba ake mimi niko huku tabora.
Kuna mgonjwa anaumwa. Sasa tulikuwa na shida na psychologist (msaikolojia tiba)
Hao ni madaktari. Eleza shida Yako watakusikilizaVipi na hawa ni madaktari wa hapo muhimbili au??
Ningepata private au pm zao niwaeleze huko boss. Pili au nipate namba ya mmoja wapo. Shida nyingine siunjua tena???Hao ni madaktari. Eleza shida Yako watakusikiliza
Nimekuelewa ila shida hii inahitaji msaikolojia kutoka huko.Wasaikologia sio lazima watoke hospitali tu. Wanaweza pia kupatikana kwenye taasisi za dini, taasisi za elimu, wanasheria, nk , kulingana na shida ya mgonjwa
Mkuu, PM yangu ipo wazi. Just hit.Ningepata private au pm zao niwaeleze huko boss. Pili au nipate namba ya mmoja wapo. Shida nyingine siunjua tena???
Psychiatrist na Psychologist mbona wamejaa wengi hapa hospital ya Mirembe mkoa wa DODOMA, Ikiwa muhusika yupo Tabora ni karibu zaidi.Mimi nina shida jamani naomba kama kuna mtu anajua au anamfahamu psychologist (Msaikolojia tiba) yeyote toka Muhimbili hospital akisaidiwa namba ake mimi niko huku tabora.
Kuna mgonjwa anaumwa. Sasa tulikuwa na shida na psychologist (msaikolojia tiba)