Natafuta Msambazaji (Dealer) wa Sabuni Za Kipande Na Sukari

Natafuta Msambazaji (Dealer) wa Sabuni Za Kipande Na Sukari

JAMII BORA

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
78
Reaction score
58
Habari wakuu.

Nimeanzisha biashara ya kuuza sabuni na sukari kwa kusambaza majumbani kwa zaidi ya nusu mwaka.Sasa kwa naona mahitaji yameongezeka mno, hivyo natafuta supplier (Dealer) mwenye uwezo wa kuniuzia Sabuni za kipande na sukari kiasi cha box kumi au zaidi kwa sabuni na katoni kumi au zaidi kwa sukari. Mfumo wa malipo tutazungumza cash iwe kiasi gani na mkopo kiasi gani. Nipo Mbezi Mwisho Stand.

Naomba msaada wenu wadau
Piga 0713-039875
 
Back
Top Bottom