Natafuta msambazaji wa mbao za MDF

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Wakuu habari za kutwa,

Niko hapa kumtafuta mtu au kampuni inayosambaza ubao huu bora kabisa kwa kutengenezea makabati na showcase mbalimbali.

Kwa wasiofahamu MDF iko vipi ni kama zile marine board ila MDF hazina mngao wala utelezo wowote zaidi tu yanakuwa smooth sana na kuvutia pia iko kama ceilling board ya zamani ila hiyo ina ujazo wa 16, 18 hadi 20.

Naomba kama kuna mtu ana taarifa au ofisi inayouza au kusambaza bidhaa hii kwa bei za jumla aniunganishe nitashukuru sana.

Kwa sasa napatikana Dodoma Ilazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…