Natafuta Msambazaji wa Samaki (Sato) toka Mwanza Mpaka Dar es Salaam.

Natafuta Msambazaji wa Samaki (Sato) toka Mwanza Mpaka Dar es Salaam.

tengz

New Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Habari zenu wanajamii.
Nahitaji supplier atakaeweza kuniuzia samaki aina ya Sato kwa bei ya atleast tsh5000 - 5,500 per kilogram. Nahitaji kuanzia 300kg kwa siku. Pia naomba msaada kwa yoyote anaefahamu wasafirishaji wa samaki kwa njia ya barabara kutoka Mwanza kuja Dar.

Sababu nina uwezo wa kusafirisha kwa Precision lakini gharama zipo juu kidogo na hivyo samaki wangu nitalazimika kuwauza bei ya juu, soko langu litakuwa limited.Kuna jamaa nilipewa namba yake nikaambiwa yeye anatoa sato Mwanza mpaka Dar-es-Salaam na anawauza kwa tsh 6,500. nikipata mtu kama huyo nitashukuru sana.
Kwa yoyote mwenye information itakayosaidia nitashukuru sana akiwasiliana nami kupitia 0787220742. i will be very grateful!
Nahitaji kuanza hiii biashara as soon as yesterday.

Please reach me through 0787220742. Thanks in advance.
 
Hizo Sato unazipata wapi maana huko kwenye chanzo zinauzwa 6000-6500/kg
Dar zinauzwa 8000 na kuendelea
 
Sato wapo wanaufugwa hapahapa Dar-es-Salaam.kama unaitaji wasiliana na mimi 0717451771
 
yaani mkuu kule kwenye Mwanza wanauza 6500 - 7000 sasa hao wa sh 5000 utawapataje ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom