Salaam wakuu!
Ninatarajia kufungua bakery ya mikate na ninataka kuingia sokoni na quality nzuri sana!!! Natafuta mtaalamu wa utengenezaji kwa ajili ya ushauri na practical experience. Malipo mazuri atapata ushauri unatakiwa kwa week moja tu!
Nipo Mwanza.
jembeconsultantsmwz@gmail.com
Asanteni.