K kajansi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2012 Posts 485 Reaction score 222 Mar 9, 2015 #1 Salaam wakuu! Ninatarajia kufungua bakery ya mikate na ninataka kuingia sokoni na quality nzuri sana!!! Natafuta mtaalamu wa utengenezaji kwa ajili ya ushauri na practical experience. Malipo mazuri atapata ushauri unatakiwa kwa week moja tu! Nipo Mwanza. jembeconsultantsmwz@gmail.com Asanteni.
Salaam wakuu! Ninatarajia kufungua bakery ya mikate na ninataka kuingia sokoni na quality nzuri sana!!! Natafuta mtaalamu wa utengenezaji kwa ajili ya ushauri na practical experience. Malipo mazuri atapata ushauri unatakiwa kwa week moja tu! Nipo Mwanza. jembeconsultantsmwz@gmail.com Asanteni.
K kajansi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2012 Posts 485 Reaction score 222 Mar 10, 2015 Thread starter #2 Wakuu bado nasubiria!