Natafuta mshauri wa sheria; nitamlipa fee

Natafuta mshauri wa sheria; nitamlipa fee

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
642
Wakuu nina issue iko mahakamani, siyo ya madai. Natafuta mwanajf ambaye yupo tayari kunishauri kupitia pm au wazi (maana siyo siri). Nipo tayari kumlipa gharama za ushauri sh.20,000 kwa njia atakayotaka. Nitaangalia historia yake ya uchangiaji humu jamvini kuhusu mambo ya sheria na hekima kabla sijamkubali.
Aliye tayari aweke utayari wake hapa au anipm
Karibuni
 
elezea matatizo yako hapa wanasheria watakushauri bure. unafikiri kwa hizo elfu kumi 2 nani atakupm?. nakutakia mafanikio. mia
 
Ndugu yangu umefanya vibaya sana kutanguliza pesa na kuanza kuhoji uwezo wa watu. Humu ndani watu wanatoa ushauri bure kuna mpaka mahakimu, mawakili, majaji nk. We mwaga ishu yako hapa uone utakavyosaidiwa. Kusema ukweli JF ina watu makini sn.
 
This must be "DEFAMATION Matter or Defilement"........Keep your 20-Bobs.......tiririka tutafanya Pro-Bono!!!
 
you never know, some of the people you may meet here, are the persons who prosecute against you. pengine ndio watakuwa waendesha mashitaka wako.....apo chacha. si jinai hiyo?
 
Huyo ana upeo mdogo sana, msamehe!! Eti elfu 20, what? :biggrin: :biggrin:
 
Back
Top Bottom