Sudi jr
Senior Member
- Aug 4, 2017
- 134
- 179
Habari ndugu zangu,
Natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara ambayo tutaamua kwa pamoja kama washirika kufanya, binafsi nina mawazo ya biashara kadhaa na nina mtaji wa million 2 ila naitaji paternership.
Sifa za mimi;
-Wa kiume
-Elimu yangu ni shahada ya kwanza (BA.Ed)
-Sio mvivu wa kazi na najituma hasa
-Naishi Kibaha
-Mwaminifu sana, ila (sio mtu wa maneno mengi)
Sifa za mshiriki
-Awe mwaminifu sana
-Mchapa kazi kweli ikibidi hata usiku
-Awe anapatikana wakati wote wa majukumu
-Mkazi wa Dar es Salaam au Kibaha
-Awe na mtaji sio chini ya million 1.5.
-Jinsia yoyote ila mimi ni wa kiume, kama akiwa wa kiume itapendeza zaidi
Kama upo interested na wazo hili naomba tufanya mawasiliano PM then tutashare contact.
Ndugu zangu katika ujenzi wa nchi.