Anachagua eneo au wewe ndio unachaguaMimi mkulima nina trekta niko wilaya ya Kilombero kijiji cha Miwangani , mshirika atatoa pesa ya kukodi shamba tuanze na ekari 10 wakati wa Kiangazi sehemu za mabonde kuna maji yanaivisha mpunga mwezi wa Novemba.
Sent using Jamii Forums mobile app