Mtaji wa laki afu unataka mshirikiane kwa mtaji huohuo sasa si bora upambane mwenywe ukuze mtaji wako!!
Manake kwa laki hata ufanye dili gani iliyo ya halali faida yake haiwez zidi elfu kumi kwa siku ko hiyo mgawane 5 kwa 5 afu familia zeni ziishi nyie muishi na biashara ikuee!!!