Natafuta mshirika wa biashara

Natafuta mshirika wa biashara

Joined
Dec 28, 2015
Posts
69
Reaction score
149
Naamin Mungu amekupa uzima tena,ndoa maana upo hapa unasoma...asante Mungu kwa ulinzi wako.

Binafsi ni mfanyanya biashara ya dagaa wa bukoba,na mazao ya nafaka yote inategemea na msimu wa zao lenyewe. Nafanya biashara zangu kisasa zaidi na kwa kucheza na soko,walaji,na wauzaji.naomba mshirika mmoja tu tushirikiane kutafuta pesa zaidi kupitia uzoefu wangu wa miaka 7 kwenye biashara hizi,

Sio kwamba huyu mshirika atakuwa anasafiri na kuhangaika kule na huko kutafuta mazao /dagaa na kuuza,hapana.(maana najua kuna watu hawataki kabisa kuhangaika kusafiri na kusumbuka na vikwazo hawaweza.so mshirkap.yeye ni mtaji wake kuanzia 20 millions,tunakaa chini nampa mikakati,

Tunasainisha mikataba kwenye mamlaka husika za ubia,yeye anaweza kukaa ofsini tu kupokea mzigo km atapenda...ingawa pia anaweza kukaa tu kusubiri faida na kila baada ya miezi mitatu tunagawana faida...maana tukiwa na mtaji wa 50 millions + zinaweza kutupa net profit 10 millions mpaka 15 millions kwa miezi mitatu. Yaan hyo ni net profit tumetoa gharama zote za biashara...na ni uhakika ndo maana nimesema faida kugawana ni baada ya miezi mitatu ili kama kuna changamoto zimetokea huu mwezi...

Nwezi ujao tunajua namna ya kukabiliana nayo na kupata faida itakayo tufanya tugawane.Changamoto zipo sana kwenye hii biashara ila ndo hivyo ni kupambana tu,ndo maana hivyo watu hawataki kusikia changamoto,wanaogopa kupoteza pesa zao ndo maana sitaki mshirika mwenzangu ajihusishe sana maana anaweza kwenda tu Mara moja kufata mzigo akakutana na changamoto akaogopa kuendelea na biashara. Akakata tamaa...

Ndo maana nasema mshirima anaweza kuwa anasubiri tu faida baada ya hyo miezi mitatu ili mradi tu tumesainisha mikataba pande zote mbili...familia zetu zinatakiwa zifahamu makubaliano na mikataba yetu sote..tuliyokubaliana na kusainishana..

Hapo nimeeleza kwa kifupi kama mtu anataka Kwa kirefu na yuko serious kwa ubia nipigie/sms
 
Siku hizi ukonekana kuwa mjanja kuliko uwezo wako kimtaji huchelewi kuitwa tapeli. Unaweza kuwa na nia njema. Dawa, komaza polepole hako kamtaji unakohisi ni kadogo utafika mbali bro.
 
miaka saba Asee ongea na wakulima wakukopeshe mzigo ama wateja wako wakupe pesa in advance itasaidia vinginevo uza assets na mkopo bank lazima ufanikishe
 
Back
Top Bottom