DUHMkuu endelea tu kivyako, hakuna wa ku-risk kifalafala hivyo!
Wanabodi
Ninafanya ufugaji wa nguruwe na kuku.
Kwa sasa ninafugia Kigamboni. Lakini ninampango wa kuhamishia project Wilaya ya Mkuranga nina shamba la ekari sita huko.
Natafuta mjasiriamali mwenye nia ya kuwekeza kwenye ufugaji wa Nguruwe kwani nina uzoefu mkubwa na ndoto kubwa kwenye hii sekta.
Kwa interested part unakatibishwa PM tujayenge na endapo tutakubaliana tutaingia mkataba wa kisheria wa ubia.
Ahsante