Natafuta mshiriki wa uwekezaji katika jengo, Dodoma mjini

Natafuta mshiriki wa uwekezaji katika jengo, Dodoma mjini

leyb

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
111
Reaction score
64
Tunatafuta kampuni, taasisi au mwekezaji binafsi tuingie nae mkataba wa kupandisha ghorofa floor 3 au 4 kwa ajili ya biashara ndani ya Dodoma mjini. Jengo ni la kundeleza tu lipo mtaa wa uhindini.
Karibuni Pm.
 
Back
Top Bottom