Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
Awe na ujuzi, lakini asiwe na maarifa ! Mkuu, una maana gani, unataka umburuze?Salam
Mtu mwenye ujuzi wa kushona lakini hana kazi wala maarifa tafadhali kama ndiye au unamjua yeyote naomba uwasiliane na mimi kwa PM
pita pale veta utawapata wengi sana wa kike na wa kiume, biashara ikiwa nzuri nijulishe na mimi nina kifrem changu kiko wazi
Awe na ujuzi, lakini asiwe na maarifa ! Mkuu, una maana gani, unataka umburuze?
Salam
Mtu mwenye ujuzi wa kushona lakini hana kazi wala maarifa tafadhali kama ndiye au unamjua yeyote naomba uwasiliane na mimi kwa PM
Haya hiyo frem kiko wapi? Nitumie message. 0757 212122
maticha wa Veta changamkieni mchongo huu kwa wanafunzi wenu.
Awe na ujuzi, lakini asiwe na maarifa ! Mkuu, una maana gani, unataka umburuze?
usiumize kichwa.nenda kwa mafundi chelehani pale mtaa wa uhuru kama unaenda buguruni pale k/koo wapo mabinti na makaka kibao.
Mimi nna ujuzi wa kushona miili ya maiti waliopasuliwa (postmortem), Jee, niku-PM? au unatafuta mshonaji wa nini? weka sawa ueleweke.