Natafuta msichana awemchumba

Natafuta msichana awemchumba

subsaharan

Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
13
Reaction score
5
mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994
 
chuo mwaka wa pili... kiswahili sahihi ni "umri" sio " umli".......
miaka 22 bado unajiita mvulana.?
 
Ukiombwa hela ya matumizi utatoa nini au mkopo? Hebu soma kwanza
 
mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994

Dogo piga shule kwanza, sioni sababu ya kuja kutafuta mchumba humu, your too young mpaka nakuonea huruma.
 
Uko chuo?Mwaka wa 2?Miaka 22?Unasomea nini?Kiswahili chenyewe hiki?Uelewa wako bado mdogo sana Try To Be Patient...!!
 
mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994

Madhara ya vyuo kuchelewa kufunguliwa yameanza kuonekana. Kama chuo huwaoni huku utapata????? Hamna msichana aliye tayari kuwa na mchumba mvulana hivyo piga buku hadi uwe mwanamme.
 
Kutafuta mchumba humu kwenye mtandao umepoteza mwelekeo kajipange upya
 
Back
Top Bottom