Natafuta msichana bikra.

Natafuta msichana bikra.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Jamaa: Mama, unajua nimefikia umri wa kuwa na familia. Huko mjini ninapoishi nimetafuta msichana bikra wa kumuoa sijampata. Kwa hiyo nimekuja huku kijijini unisaidie kutafuta.
Mama: Ukweli mwanangu hapa kijijini sidhani kama utapata msichana bikra, bora tu urudi ukatafute huko huko mjini. Watoto wa siku hizi hapa kijijini wanazaliwa bila bikra.

Tehe tehe tehe Jamaa akashusha pumzi dah!!
 
Back
Top Bottom