Natafuta msichana kwa mahusiano yatakayopelekea ndoa

Natafuta msichana kwa mahusiano yatakayopelekea ndoa

Kibangala

Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
45
Reaction score
38
Awe na sifa hizi
1.Asiwe na mtoto
2.Awe na upendo wa dhati
3.Asitumie kilevi chochote
4.Awe na hofu ya Mungu
5.18-27yrs
6.Awe Mkristo
Msichana ambae kwel yupo serious kuingia kwenye mahusisno naomba ani pm.
 
Ngoja waje wanaotaka ndoa.........
 
Awe na sifa hizi
1.Asiwe na mtoto
2.Awe na upendo wa dhati
3.Asitumie kilevi chochote
4.Awe na hofu ya Mungu
5.18-27yrs
6.Awe Mkristo
Msichana ambae kwel yupo serious kuingia kwenye mahusisno naomba ani pm.
Vipi kama hana mtoto Ila katoa mimba za kutosha?
 
Vipi kama hana mtoto Ila katoa mimba za kutosha?
Huyo hana mtoto Mze,mbona akili zako zimeganda sana?
Mtoa post angesema ambaye hajawah shikishwa ujauzito your comment cud be valid,ila sasa yey amesema ambaye hana mtoto,means hata kama alikuwa ane akafariki,its cool with him.
 
Awe na sifa hizi
1.Asiwe na mtoto
2.Awe na upendo wa dhati
3.Asitumie kilevi chochote
4.Awe na hofu ya Mungu
5.18-27yrs
6.Awe Mkristo
Msichana ambae kwel yupo serious kuingia kwenye mahusisno naomba ani pm.
hapo kwenye umri ungeweka 25-27 maana dem atayekubali marriage kwa umri wa miaka 18-24 ni sawa na mtu anayetoka disco saa mbili usiku wakati mambo ndio yanaanza kuchanganya
 
Back
Top Bottom