Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja

Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja

unguja

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
40
Reaction score
22
Kama tittle ya thread inavyosoma hapo Juu. Natafuta mdada mwenye kujielewa wa kujenga nae maisha. Please kwa mdada yeyote mwenye kukidhi vigezo ani pm tuyaanzishe mahusiano.

Wasifu wangu.
Umri30----35,
Kazi-------Banker (hapa Dar)
Dini----Mkristo
Kabila-----Msukuma.
Urefu--Mrefu kiasi
Makazi----Dar.
Nb. Ninamiliki viwanja na nina gari.

Vigezo vya mdada angalau viwe kama ifuatavyo.
1) Awe mkristo umri katiya 22--29.
2) Angalau amemaliza form six. Chuo is anadded advantage.
2) Mrefu kiasi na asiwe mnene wala mwembamba sana.
3) Ukiwa unaishi Dar ni added advantage.
4) Mwenye kupendwa akapendeka asiye na makuu.

Please pm tuyajenge kwa ambaye yupo interested.
 
Back
Top Bottom