Hi guys,
Mimi ni kijana wa miaka 26, fresher kutoka Chuo. Nahitaji msichana wa angalau 20-25 kwa ajili ya serious relationship na baadae ndoa. Awe muislam na awe awe tayari kuambatana nami popote nitakapopangiwa kazi.
Any serious candidate aje inbox.
Regards,
Adjoub