JICHO LA TATU
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 306
- 49
Sio siri huyu bwana kiboko..sijui kiboko mnyama au cha kuwachapia??we kiboko!
Msichana mwenye umri wa miaka 45??? Endelea kumtafuta, lakini nahisi itakuwa loading kwa masaa kadhaa.
Sio siri huyu bwana kiboko..sijui kiboko mnyama au cha kuwachapia??
vyote vyote aisee maana si ameanzia kuwa dume la nyani..hahahahahaha!!!!!!
Samahani nilisahau kukusalimia..mzima lakini??
hiii ni kwa wadada wote wenye kujaaliwa makalio makubwa itakuwa ni chance yao...!
duh, usijali mimi mzima Alhamdulillah, nawe vipi shwari lakini?
Msichana mwenye umri wa miaka 45??? Endelea kumtafuta, lakini nahisi itakuwa loading kwa masaa kadhaa.
hiii ni kwa wadada wote wenye kujaaliwa makalio makubwa itakuwa ni chance yao...!