Natafuta msichana mwenye umri wa kati ya 20 - 23 awe ni mchangamfu na msafi
awe na moyo wa upendo ka wote na mvumilivu alie na roho ya kuishi mazingira tofauti tofauti
Sifa zangu hizi hapa
1. Nina mapenzi ya kweli na sio mtu wa kubadilikabadilika
2. Mcha Mungu na mkarimu mwenye upendo
3. Mrefu wa wastani
4. Msafi
6. Mpole sina mawaha