Natafuta Msichana wa kazi mshahara 50 Bei ya mwisho 60000

Ukikosa mfanyakazi nitafute nikupe namba ya mdada wa mwanza aliyepo dodoma kikazi, mzungumze biashara hiyo...ukimuhitaji utanicheki 0735459988
 
Na mimi nahitaji msaidizi wa nyumbani.

Kituo cha kazi Dar.es salam.
Hakuna kazi kubwa.Watoto wawili ,mmoja anarudi jioni mmoja wa miaka miwili .
Basi.
Watoto.

Huyu unamuambia acha hiki yule anarukia kile. Unawaambia walale mkubwa anataka kulala mdogo anataka waamke wacheze.

Kula hadi mzungushane na sometimes anagoma
 
Mambo yamebadilika sana sasa hivi. Tuanze kujifunza kufanya shughuli zetu wenyewe, ikiwezekana kina mama inabid muwe watu wa nyumban. Sasa hivi kupata binti wa kazi ni ishu mimi nishaamuaga vijamaa vyote shule, nunua mashine ya kudeki, kuosha vyombo na kufua. Kupika tunasaidiana na wife. Tukitaka watu wa kazi tupandishe madau walau 200000 kwa mwez tutapata wengi ila kwa hiyo 50000 watu wamebadilika
 
Mr una utanii sanaa 200000 kwa kazi hipi au unafanyaa production eh
 
Mambo yamebadilika sana sasa hivi. Tuanze kujifunza kufanya shughuli zetu wenyewe, ikiwezekana kina mama inabid muwe watu wa nyumban. Sasa hivi kupata binti wa kazi ni ishu mimi nishaamuaga vijamaa vyote shule, nunua mashine ya kudeki, kuosha vyombo na kufua. Kupika tunasaidiana na wife. Tukitaka watu wa kazi tupandishe madau walau 200000 kwa mwez tutapata wengi ila kwa hiyo 50000 watu wamebadilika
wapo kibao wanalipwa mpaka 30000
 
Back
Top Bottom