Natafuta msichana wa kuanzisha nae uchumba

Antibiotics

New Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
3
Reaction score
3
Hello Guys mimi ni Mwanaume miaka 30,naishi Dar,Am serious natafuta mchumba,Awe mkristu,mrefu wa wastani,maji ya kunde au mweupe asilia,Asiwe na mtoto,Elimu kuanzia form four na kuendelea, Awe au asiwe na kazi kwangu sawa tu,kabila lolote kutoka mkoa wowote,awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu,Kwa mdada ulie tayari njoo inbox or private DM ,tuyajenge!!
 
Text me
 
Mkuu ulipata Bebe....??

Hebu leta mrejesho
 
[mention]financial services [/mention] akija huko kimbia
Mwizi
Mbaya
Hana chula
Atakugombanisha na ndugu
Shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta hela mzee achana na pisi za mitandaoni. Utaumia
 
mwenzenu nafa uku gestii jamaan
FB_IMG_1642095203985.jpg
 
Back
Top Bottom