Natafuta msichana wa kubadilishana nae mawazo

msichana wa kubadilishana mawazo? yako yawe yake and vice versa au?
 
Mawazo ya wanaume wenzio huyatak mkuu?
 
we si useme 2 ukweli unatafuta girl friend, unafichaficha nini? Wacha maneno iyo utaumia na nygi mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…