Natafuta msichana wa kuishi naye

Natafuta msichana wa kuishi naye

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Habari wandugu. Mimi ni mkazi wa Dar maeneo ya Kigamboni. Natafuta mdada umri wowote wa kuishi naye kusaidiana kimaisha. Hatahusika suala la kodi. Naishi chumba kimoja.

Masuala ya kula ni juu yangu. Mengine ni yeye mwenyewe. Ni dizaini ya rafiki zaidi wa kike wa kuishi naye. Si lazima tuwe wapenzi. Namaanisha na nipo serious. Heshima ni kitu cha muhimu.

Kwa aliye serious anaweza kunicheki PM
 
You might be a victim of stress,
 
Mtafuteni Mungu kwanza ndipo umafute mke/ mume, kinyume na hapo muda wa kufurahia ndoa yako utajikuta wewe ndio unautumia kumtafuta Mungu ili aweze kukupa amani na faraja kwenye ndoa yako

Mathayo : Mlango 6
33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

Luka : Mlango 12
31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.

Sefania : Mlango 2
3 Mtafuteni BWANA, enyi nyote mlio wanyenyekevu wa dunia, ninyi mliozitenda hukumu zake; itafuteni haki, utafuteni unyenyekevu; huenda mtafichwa katika siku ya hasira ya BWANA.
 
Back
Top Bottom