Mimi Ni mwanafunzi katka chuo kimoja hapa dar Nina jitegemea kimaisha yaani sio tegemezi kwa ujumla ila kuhudumia kwa sasa sitaki kwa kweli ila kusaidiana kwa ajili ya kusongesha maisha naamini Ni muhimu; natafuta msichana asizidi umri Wa miaka 22 tuwe tunasaidiana kwenye maisha Na mapeanzi tuna peana pasipokufanyana ATM machine.
Kwa aliye tayari ani pm plz
Note;
Hii Ni baada ya kuona wasichana wengi ninaokutana nao Ni wachunaji Na hakuna win win situation kitu ambacho kina gharimu upande mmoja.
Naamini wapo wasichana wengi wanatafuta watu waaminifu wanakosa ila kwa Mimi naamini ukinipata hutojuta.