Natafuta msichana wa kuliwazana nae; awe mjasiriamali

Natafuta msichana wa kuliwazana nae; awe mjasiriamali

lun

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
667
Reaction score
743
Kama mada inavyojieleza, nipo lonely na natafuta msichana mzuri wa kutoka nae out na kubadilisana mawazo hususani ya ujasiriamali.

Kwa mwenye uhitaji pia ajitokeze lakini lazima awe na uwezo wa kushare ideas.

Sifa zangu:

Urefu: 165 cm
Rangi: Maji ya kunde
Mwili: Kawaida sio bonge
Elimu: Professional accountant
Kazi: Mjasiriamali
 
Nawatakia mliwazane vizuri na muoane 2018.
 
Ujasiriamali na kuliwazana wapi na wapi mkuu
 
Mkuu acha tabia za kupe awe mjasiria mali ili awe sponsore au
 
Hawawez kuja labda ungewaambia mkale bata tu na kupiga umbea ungejaza hata treni la magirl wakutoka nao lakini kwenye kubadilishana mawazo ya ujasiriamali huwapati ng'oooo
 
Ni kitu kizuri kwa kweli....

Kama umeamua kutafuta tulizo la moyo.

Maana upweke sio kitu kizuri hata kidogo...

Ila keep your promise mjadili ujasiriamali tu msitoke nje ya key...
 
Hawawez kuja labda ungewaambia mkale bata tu na kupiga umbea ungejaza hata treni la magirl wakutoka nao lakini kwenye kubadilishana mawazo ya ujasiriamali huwapati ng'oooo
Kumbe da sasa hitaji langu now ndo hilo ngoja cku ya bata ikifikia ntawaambia
 
Ni kitu kizuri kwa kweli....

Kama umeamua kutafuta tulizo la moyo.

Maana upweke sio kitu kizuri hata kidogo...

Ila keep your promise mjadili ujasiriamali tu msitoke nje ya key...

Wakaishapatana kutakuwa hakuna ujasiriamali tena....
 
Back
Top Bottom