Natafuta msichana wa kuliwazana

KIGHERA

Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
84
Reaction score
27
Mambo,
mm ni kijana wa miaka 31,natafuta msichana wa kuliwazana maana girl friend wangu yuko mbali,so nakuwa a lone muda mwingi ila asiwe m2 wa kuja kupigana mzinga au lengo la kuolewa,natafuta yule ambae tukikubaliana siku moja moja tunapunguzana stress au kupiga story........Muonekano wangu:ni wa kawaida tu na sio mrefu,na nimeajiriwa,elimu ni chuo...kama uko interesting ni pm
 

Mi mwenyewe nina mawazo.....my bby kasafiri wiki ya pili sasa........nashindwa nifanyeje.......
 
Njoo hapa Buguruni Kimboka Bar wapo kibao unajichagulia.
 
Hata mie mistress kibao tu....sasa nakupigia mbona hupokei?
 
Bahati iliyoje! na mimi natafuta kijana wa kuliwazana maana boy friend wangu yuko masafa. Sharti ni kwamba usionje ukataka kuning'ang'ania, maana ninaye wangu kama wewe ulivyo na wako.
 
Na wewe tulia acha ujinga angekuwa ni mke kasafiri,ungetafuta wa kukuliwaza ndio chanzo cha wapenzi wengi mwisho wake ni kuambukizana maradhi. hudhuria mikutano ya dini na maombi kuondoa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…