Natafuta msichana wa kumuoa

Natafuta msichana wa kumuoa

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Jina na picha ndo hivo vinadisplay kwa my profile ...
Ni mvulana
Umri wangu miaka 25
Elimu yangu ni ya wastani,
Najishughulisha na ufundi wa sofa,
Naish dar
Ni mkristo..

Mwenye kuvutiwa nami na awe na sifa 1 kubwa ya kujielewa nn anafanya na asiwe na tamaa.
Kama ukointerested ni PM
 
Back
Top Bottom