Kisaka80
Senior Member
- Feb 4, 2012
- 151
- 94
Wapendwa wana JF natafuta mchumba wa kuoa...am more than serious katika hili jambo. Natafuta binti mwenye vigezo vifuatavyo:- mcha mungu, umri miaka 20 hadi 33. Elimu kuanzia Kidato cha sita na kuendelea, anayejipenda na kujiheshimu, awe mkristo -dhehebu lolote lile.....! Mimi nina miaka 34, Elimu yangu ni ya chuo kikuu, Mkristo wa roman catholic. Msichana aliye serious naomba ani-Pm tafadhali.