maukijunior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 233
- 366
Wakuu habar,,,
Kwa kuanzia tu, toka nijiunge humu huu ndio Uzi wangu wa Kwanza na nimejifunza mengi Sana toka niwe member humu, Leo nimekuja na ombi moja tuu, baada ya Kuwa na mahusiano mengi ambayo hayakuzaa matunda naona mda umefika na Mimi Kuwa na mwenzi wa maisha tujenge familia,,
Mimi Ni kijana Nina miaka Kati ya 30-33
Nina elimu ya chuo (bachelor)
Kwa Sasa Ni mfanya biashara
Naishi nyanda za juu kusini
Ni mrefu
Maji ya kunde
Sio mnene sana, nipo wastani
Mcheshi
Vigezo vya msichana ninayemuhitaji
- awe na umri usiozidi miaka 29
- asiwe mwemba Sana wala mnene Sana
- asiwe single mother
- awe na elimu atlist diploma
- sitojali Kama atakua hajaajiriwa Cha msingi ajue kutimiza mahitaji Kama mke
-asiwe mfupi sana,( Hawa huwa wanaasira Sana)
Ambae anakizi vigezo aje PM tuyajenge..
Sent using Jamii Forums mobile app