natafuta msichana wa kuoa

natafuta msichana wa kuoa

ngulangwa

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:

1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye degree,diploma au form six
4. Mwenye kujiheshimu na aliyetulia
5. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
6. aliyetayari atume picha kwenye email sngulangwa@yahoo.com nasubiri.


Feel free to PM
 
Back
Top Bottom